Rais Donald Trump amesema kwamba Israel na Lebanon zimeongeza muda wa kusitisha mapigano kwa wiki tatu, huku mazungumzo ya Marekani na Iran ya kukomesha vita vya Mashariki ya Kati yakiwa katika mkwamo ...