KUNA uwezekano mkubwa wa straika wa zamani wa Simba na Yanga, Jean Baleke akajiunga na AmaZulu FC ya Afrika Kusini, baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina yake na uongozi wa timu hiyo ...
Kuna mambo kibao yanaendelea hapa nchini katika anga la michezo, wakati Ligi Kuu Bara inaporejea leo, lakini kule Misri, ...
MANCHESTER City itajaribu kutuma ofa kwenda Arsenal katika dirisha lijalo ili kuipata saini ya beki kisiki wa Washika Mitutu ...
MIAMI, MAREKANI: MLINZI wa supastaa Lionel Messi, Yassine Chueko amepigwa marufuku kukaa pembezoni mwa uwanja huko MLS.
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesisitiza dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi litakwenda kuwa kitu kikubwa sana ...
MANCHESTER City imefichua kwamba straika wao Erling Haaland huenda akakaa nje kwa siku kadhaa msimu huu baada ya kupata ...
MECHI nne za Ligi Kuu Bara zitapigwa Jumatano hii kwenye viwanja tofauti zikiwa na vita tatu, kisasi, ubingwa na kujiweka ...
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemwambia kiungo Bruno Fernandes hatauzwa kwa bei yoyote ile licha ya miamba hiyo ...
LICHA ya kutokuwa na uzoefu mkubwa kimataifa timu yake ikicheza mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho ...
POINTI 18 na nafasi ya 15 iliopo Tanzania Prisons, inamfanya kocha wa timu hiyo Amani Josiah kuwa na hesabu kali dhidi ya KMC kwani ikishinda mchezo wa Jumatano hii itapanda hadi nafasi ya ...
UKIWATAJA mabondia wa Tanzania waliofikia rekodi ya hadhi ya nyota nne, basi jina la mtoto wa Zena Kipingu, mke wa Kanali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results